Kuuza
Hati (Ankara na Nukuu za Bei)
Ankara, nukuu za bei, risiti, delivery note na zaidi, zinazochapishwa kwa kiolezo chako mwenyewe.
Ilisasishwa 28 Okt 2026
Tengeneza hati
Hati → Hati Mpya: chagua aina (ankara, nukuu ya bei, proforma, risiti, delivery note ...), mteja, mistari na sehemu zozote za masharti. VAT na punguzo vinahesabiwa.
Malipo ya ankara
Fungua ankara na weka malipo (fedha taslimu, pesa za simu, benki). Hali yake inafuata: Haijalipwa, Imelipwa Sehemu, Imelipwa. Ankara zilizopita muda zinaonekana kwenye tahadhari za asubuhi.
Violezo na chapa yako
- Violezo: chagua mpangilio wa kila aina.
- Picha na Taarifa: nembo, muhuri, sahihi, taarifa za benki na alama ya maji (watermark).
Nakili na geuza
Geuza nukuu ya bei kuwa ankara, au nakili hati.
Ankara na nukuu za bei za miradi kutoka BOQ pia zinatengenezwa hapa (ona Kutoza Miradi).
